- Kwenyu mko wengi mpaka mkipika Chapo mnaziphotocopy ndio zitoshe.
 - Kwenyu mko wengi mpaka kuna roll call mkiamka na mkilala.
 - Kwenyu ni wengi mpaka mkifungua mlango asubuhi mnamwagika kwenda nje.
 - Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka mna parallel programme
 - Kwenyu hamna choo, mnatuma wageni msituni na jembe.
 - Kwenyu mnakula sukuma wiki na mkate
 - Kwenyu mko wengi mpaka mnatumia Megarider kuingia
 - Hati Kwenyu ni kuchafu mpaka mende zinavalia slippers.
 - Shagz za kwenyu ni-dry mpaka ng’ombe ukamuliwa maziwa powder
 - Nyumba yenu ni kubwa sana mpaka ndani yake kuna round-about.
 
Thursday, June 24, 2010
Kwenyu Jokes!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
😂😂😂 These never get old at all
ReplyDeletekaliii!!!!
ReplyDeleteHahaha😂😂😊😊😊
ReplyDelete