Thursday, June 24, 2010

Mchongoano

  1. Church yenu ni ya masonko hadi mkitoa sadaka nyi huimba M-PESA M-PESA.
  2. Nyinyi ni wengi mpaka hao yenyu inachuma ka KBS mnajishikilia mkidoze
  3. We ulizaliwa ukiwa mblack uliwekwa kwa incubator tinted ili usi wastushe watoi!!
  4. Wewe ni fala siku yako ya kwanza kuona strong tea ulianza kuuliza eti kama hiyo maji imeungua!
  5. Phone yako kali kwa extras iko na nailcutter
  6. Tv yenu ni nzee hadi dexter anaongea kikamba
  7. Ati wewe uko hairly ukipita tao mavinyozi hudai 'aki hiyo ni punch imepita!?'
  8. Manzi yako ni mugly, ukisimama na yeye kwa stage, kondakta anasema.. Mizigo juu!
  9. Manzi yako ni mnono akifunga belt ya yellow na umcheki far unadhani ni taxi..
  10. Phone yako imezeeka hadi key pads ni za roman numberz

2 comments:

  1. nasikia first time yako yakuona rainbaow ulithani ni colgate ya mungu

    ReplyDelete
  2. Paddy Power Casino New York - MapYRO
    Find the best Paddy Power Casino New York in New York and nearby. Complete 순천 출장샵 casino 용인 출장마사지 information, reviews & opening hours. Rating: 4.4 · ‎13 reviews · ‎Price 공주 출장안마 range: $$$How is Paddy Power 통영 출장마사지 Casino New York rated?What days are 양주 출장샵 Paddy Power Casino New York open?

    ReplyDelete