Thursday, June 24, 2010

Kwenyu Jokes!!!

  1. Kwenyu mko wengi mpaka mkipika Chapo mnaziphotocopy ndio zitoshe.
  2. Kwenyu mko wengi mpaka kuna roll call mkiamka na mkilala.
  3. Kwenyu ni wengi mpaka mkifungua mlango asubuhi mnamwagika kwenda nje.
  4. Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka mna parallel programme
  5. Kwenyu hamna choo, mnatuma wageni msituni na jembe.
  6. Kwenyu mnakula sukuma wiki na mkate
  7. Kwenyu mko wengi mpaka mnatumia Megarider kuingia
  8. Hati Kwenyu ni kuchafu mpaka mende zinavalia slippers.
  9. Shagz za kwenyu ni-dry mpaka ng’ombe ukamuliwa maziwa powder
  10. Nyumba yenu ni kubwa sana mpaka ndani yake kuna round-about.

3 comments: